Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Njombe institute inawatangazia nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za hoteli, zikiwemo
1. Tourism and tour guiding
2. House keeping
3. Computer
4. Cake making
5. Food beverage service
6. English na nyingine nyingi.
Chuo kipo katika mazingira mazuri ya kusomea nadharia na kwa vitendo.
Ada ni nafuu sana. Mwanafunzi anapomaliza anatafutiwa kazi.
Sifa za kujiunga, awe amehitimu darasa la saba au kidato cha NNE au sita na kwa ufaulu wowote.
Ewe mzazi/mlezi mlete mwanao Njombe institute apate mafunzo na ajira yake.
Ada zetu ni nafuu sana. Kwa mawasiliano piga. 0754004189
Karibu sana.