Msaada: Kumbi za sherehe Dar es Salaam

MSOLOPAA

Member
Dec 10, 2016
82
107
Wadau,

Naomba mnisaidie majina ya kumbi za harusi za wastani zilizopo hapa DSM angalao ziwe chini ya milion 1. Kama itawezekana naomba mnisaidie na Contact zao kabisa.

Natanguliza shukrani
 
nenda mwenge social Hall pale karibu na maghorofa ya jeshi bei yao 1.2m na nirahisi kufikika ila ukumbi sio mkubwa maximum watu 250
 
Back
Top Bottom