Piga namba hii fasta uchukue apartment Dar kwa 150

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,683
WALE WA DAR TEGETA TEGETA TEGETA:

Chumba (master) na sebule safi.
Stoo. Jiko lako mwenyewe.
Public toilet (kama ukipata mgeni, sio aingie chumbani tena)
Full tiles, Gypsum, Sebule ina matundu ya kubandika Flat Screen.
Geti lako mwenyewe (hakuna bugudha).
Maji na luku mnashea watu 3.

Vyote hivo kwa pamoja. Bei 160 ikipungua 150. Miezi 6.

Tegeta kwa ndevu, dakika 5 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.

Wahi fasta. Hakuna utapeli. Hii ni kitu live.

0717 630 851
 
WALE WA DAR TEGETA TEGETA TEGETA:

Chumba na sebule (master), Stoo, Jiko, Public toilet, geti lako.
Maji na luku mnashea watu 3.
Bei 160 ikipungua 150. Miezi 6.

Tegeta kwa ndevu, dakika 5 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.

Wahi fasta. Apartment watu wanaikimbilia. Imebaki moja tu.

0717 630 851
Picha mkuu
 
hizi Dk 8 nilizochelewa kuiona post yako + Apartment imebaki moja + Watu wanazikimbilia + Sina dakika za tigo hadi nikanunue vocha..

Nitawahi kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1


Utawahi mkuu... Sio wote wenye Cash ontime. jaribu bahati yako.
 
Zingekuwa zinagombaniwa ungekuja kuziandika humu!!!! Au umeona huku mtandaoni ndiyo utawalangua vizuri na udalali uchwara wako.?


Sawa. Wenye kuhitaji watanitafuta. Wewe sio muhitaji mkuu.
 
Tangazo lako halijaeleweka, hiyo 150 ni kwa mwezi au miezi sita?
 
120
nakodi bajaj kwenda bank na kuja tegeta sasa hivi!!
CONFIRM...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom