tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habari wana JamiiForums?
Shida yangu ni kuhusu jiko la gas ninampango wa kununua jiko la gas la plate mbili issue ni jiko gani bora na lisilotumia gas nyingi na nitalipata kwa sh ngapi? Maana nimesikia kuna majiko fake na yanayotumia gas nyingi.
Mwenye ufahamu wa hilo naomba anisaidie vigezo vya kupata jiko bora ni nini nizingatie na nini kifanyike.
Natanguliza shukrani