Wanunuzi wa magari yaliyotumika wanapatikana masaa 24, siku saba za wiki.
Kama una miliki gari na unahitaji kuliuza wasiliana nasi tukupatie mtu wa kununua tukuondolee msongo wa mawazo unaoweza...
Nyumba ipo boko/ mianzini dare salaam
Plot size sqm 1000
Haina title deed
Ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master moja
Ina jiko
Sebure
Na sehemu ya kulia chakula
Pia ina tailiz ndani...
Kwakweli hii mobile application yenu ni nzuri sana.
Kwa watu kama sisi tunaokesha mashambani kulima matikiti inatusaidia sana, ni swala la kuhakikisha tu chaji itakua full, lakini swala la...
I am looking for Accounting Package capable of doing the following:
Inventory Control
Selling
Customers Management
Billing
Human resources / Payroll
Procurement
Financial...
Wakuu natafuta accounting system kwa ajili ya biashara yangu ninayotarajia kuanzisha soon.
Aliyenayo au anamjua mtu aliyonayo naomba ani PM
Ni kwa ajili ya small business
Natanguliza shukrani.
Wana JF,
Kwa kina dada au kina mama, kina baba na vijana, Kama una tatizo la kutokuwa na hamu ya tendo isiyotokana na msongo wa mawazo naomba utuone, tunatumia cleanser kusafisha na badae tuna...
nahitaji boxer bm 150 iwe imenunuliwa mwezi wa 9/10 i mean imetumika kwa chini ya miezi mitatu
iwe na hali nzuri kimwonekano
iwe na documents halal ikiwemo risiti ilizonunuliwa
iwe na helmet...
ZAINABU SOAPS
KWA MAHITAJI YA SABUNI ZA KIGOMA (MAGADI) kwa wauzaji wa jumla na rejareja.
Carton 1 = miche 20= Tsh 32000/
Nusu carton = miche 10 =.Tsh 16000/=
urefu wa Sabuni ni sentimita 37...
Usiumize kichwa na kulalamika pesa yako ndogo na umekosa nyumba!! Hapana jibu lako na mtetezi wako nipo hapa kukusaidia wewe unayetafuta nyumba ya kununua kwa bei nafuu na uweze kuishi na familia...
METATRON LIFT CO. LTD,
Inakuletea bidhaa bora toka UTURUKI kwa aina zote za Lift/Elevator pamoja na spear parts, Pia Tunazo aina mbali mbali za CONVEYOR kwa ajili ya viwanda vidogo, vya kati...
Jina la Bidhaa: Toshiba Satellite Pro c50
Space Bar: Imetoka lakini ninayo na inaweza kurudishwa kama ilivyokuwa ni Fundi wako tu.
Bei: 350,000/= (Maongezi yapo kidogo kidogo).
Njoo PM kwa...