Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

Amiry Kitimbu

Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
37
Reaction score
6
Usiumize kichwa na kulalamika pesa yako ndogo na umekosa nyumba!! Hapana jibu lako na mtetezi wako nipo hapa kukusaidia wewe unayetafuta nyumba ya kununua kwa bei nafuu na uweze kuishi na familia yako katika mazingira salama na yenye huduma zote za jamii. Izingatiwe kua nyumba haina matatizo.

Nyumba inauzwa kwa bei nafuu kabisa kwa Tsh.45 milion.
Nyumba ipo Mbagala chamazi dar es salaam maeneo ya Saku.Nyumba ina nyaraka zote.

Kwa maelezo zaidi nitafute kwa:
[emoji390] 0714281410

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

• 4 bedrooms including master bedroom
• Sitting room
• Dinning & kitchen
• store
• 2 public toilets inside and outside
• Parking area
3447ff804a2c3f2e0a8cdfd3d4e53956.jpg
 
Masimango ya nini sasa!!!!?

45m unaona ni vijisenti si ndio?

Yaani mtu awe na huo mzigo awe ameshindwa kujenga????
 
Masimango ya nini sasa!!!!?

45m unaona ni vijisenti si ndio?

Yaani mtu awe na huo mzigo awe ameshindwa kujenga????
Sio wote watakua na upeo kama wako,mwengine pesa anayo na hafikirii kujenga nyumba.
 
Ingawa hivyo nyumba inapendeza.

Wenye hela zenu karibuni mfaidi mjengo!!!
Hakuna stress za kukimbzana na mafundi.
 
chukua 15M mkuu... heri kenda shika kuliko __________•
 
Hii kwa pesa hiyo inalipa.Kujenga waweza tumia gharama pungufu ya hapo ila masumbufu na mizunguko utakayoifanya ukipigia hesabu utapata jibu.Nimeimiss sana sema tu my time is not yet
 
Siyo ya urithi! Isije leta balaa la malumbano hapo baadae.
 
Mkuu jina lako linafanana na rafiki yangu ibrahim kitimbu....director.... Ipo chamazi sehem gani hii???
 
Nyumba nzuri kasoro imekosa kiwanja/nafasi
 
Nyumba nyingi za chamaz wale wafanya biashara almaaruf jenga uza zinakuwa sio imara
 
Hii kwa pesa hiyo inalipa.Kujenga waweza tumia gharama pungufu ya hapo ila masumbufu na mizunguko utakayoifanya ukipigia hesabu utapata jibu.Nimeimiss sana sema tu my time is not yet
One day lets say Insha Allah
 
Back
Top Bottom