Computer4Sale Toshiba Satellite Pro c50 inauzwa kwa bei ya kutupa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Jina la Bidhaa: Toshiba Satellite Pro c50

Space Bar: Imetoka lakini ninayo na inaweza kurudishwa kama ilivyokuwa ni Fundi wako tu.

Bei: 350,000/= (Maongezi yapo kidogo kidogo).

Njoo PM kwa maongezi

  • Intel® Celeron® 1005M processor
  • 39.6cm (15.6”) , Toshiba HD non-reflective High Brightness display with 16 : 9 aspect ratio and LED backlighting
  • Hard disk 500 GB
  • 4,096 (1x) MB, DDR3 RAM (1,600 MHz)
  • Intel® HD Graphics
  • W x D x H : 380.0 x 242.0 x 30.8 (front) / 33.35 (rear) mm
Jiridhishe kwa picha zaidi;


665c2002-3fcb-4494-aec6-ff8b2d29836d.jpg

309cc0d9-488a-4a41-9480-6415a1a8b967.jpg

ce2ad5ea-ad1b-43e2-a5de-de36db56d614.jpg
 
Mpaka space bar imechoropoka!! Ni kwa jinsi gan ulivyoibofya bofya duuh,150k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom