Wapi Naweza Kupata Maziwa Ya Ng'ombe Kwa Bei Ya Jumla Hapa Dar ?

Salaam, Bila kupepesa macho, ni ngumu kidogo kupata maziwa ya jumla yaliyo salama pale Dar. Sababu mahitaji ya maziwa yako juu kiasi, ila unaweza kupata kwa kuagiza toka mkoa wa Pwani na Tanga. Maeneo kama Ikwiriri na Msata kuna maziwa kutoka kwa wafugaji wa kienyeji.
 
Ok. Nashukuru Sana
 
6ed2a8046aae19518b677df0c9e97b3e.jpg
f2d71f65fb3bbc402888915e8f1d3238.jpg
anae jua haya makopo ya kuwekea mziwa yanako patikana naomba anijuze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom