Tunauza mbao fupi za dawa zenye kudumu kwa muda mrefu na zisizo weza kushambuliwa na wadudu waalibifu
Pia itakuepusha na utapeli wa futi kwani mbao hizi ni bora sawa na zile ndefu za kupima...
Habari
Nafanya kazi ya kutafuta wateja niambie biashara yako au bidhaa ulizonazo, bei na ubora nikuletee wateja pia Kama unaitaji bidhaa tuwasiliane
NB:Malipo ni makubaliano kwa wauzaji
Kwa ushauri wa ujenzi bora wa nyumba,ramani bora nyumba pamoja na ujenzi wa nyumba tuone #PIARA TANZANIA tutakusaidia kufikia lengo lako.
Unaweza kutuuliza chochote kile kuhusu ujenzi.
Baadhi za...
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...
Je wewe ni kijana na hauna ajira na una ndoto za kujiajiri GS POWER INSTALLATION LTD ikishirikiana na KENVISION kutoka Nairobi pamoja na wadau mbalimbali wa CCTV wanakuletea mafunzo ya CCTV CAMERA...
Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi
Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi
Ukubwa...
Asante kwa kusoma uzii huu kwako wewe mwanajamii forum
Nauza nguruwe kwa ajili ya kuchinjwa wapo kumi na tatu,
Wapo Marangu mamba mkoani Kilimanjaro,
Wanauzito kuanzia kilo 54 mpaka kilo 69,bei...
Vunja Bei Matelephones.
Tunauza Laptops mpyaa na Tablets za kisasa, original full accessories kwa Punguzo la 30%
LAPTOP.
Brands zilizopo ni Dell, HP, Toshiba, Acer, Assus & Sony.
Kuanzia Duo...
Wadau nauza maeneo yanayofaa kwa makazi cheka kigamboni kama ufuatavyo;
Heka moja-Tsh 15m
Nusu heka-Tsh 7m
20*20-milion 3.5
Maeneo haya yote hayako mbali sana na main road. Serious buyer nitafute...