Pendekezo la kuanzisha Forum ya verified users

Pendekezo la kuanzisha Forum ya verified users

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
1,389
Reaction score
715
Mkuu invisible na wenzako.

napendekeza kama itawazekana lianzishwe jukwaa ambalo wachangiaji wake ni verified users ili tuone kama inaweza kuongeza ufanisi na uwajibikaji katika uchangiaji wa hoja (kama majaribio)
 
Verified users ni watu wa aina gani hao
 
Huenda mkaishia kupeana salamu na kujulishana kilichojiri magazetini tu!
 
Unataka kujenga group la waoga na wanaomsifia mkulu hapa JF. .


Hatutaki


Narudia


HATU TAKI
 
Hayo mambo ya Verified users yapo WhatsApp maana huwezi kuficha hat a Number. Mtaishia Jela. Huoni a kina malisa na nyerere wanahofu kuchangia humu?
 
Back
Top Bottom