Karibu kwa huduma za kuchimbiwa kisima kwa ajili ya kumwagilia au matumizi ya nyumbani

koploTz

New Member
Feb 11, 2017
4
2
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na masuala ya uchimbaji visima kwa ajili ya mashamba ( I mean kumwagilia ) au kwa matumizi ya nyumbani
Bei zetu ni shillingi elfu sabini kwa mita moja ( tunaweka bomba pvc's na kukununulia pampu ) bomba zinazowekwa ni kutoka Arusha ambazo zina ubora pia tuna kuwekea polypipe yenye ubora. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma messeji,watsapp kwenda namba 0625576082
Karibuni sana
Nb: bei iliyowekwa hapo ni kwa wateja wa Dar es salaam tu
 
Kwa wastani hadi kupata maji ni mita ngapi? Na bei yenu kwa huku Namanyere
 
Namanyere ndio wapi mkuu...na umbali waajinunategemeana sehemu na sehemu mkuu kwingine maji yapo mita 40 kwingine ni mita 200 mpaka 300
 
Mimi nataka kujua kitu kimoja , kabla ya kuchimba mnaweza kujua kuna MAJI ya baridi! Na yakutosha mwaka mzima au ndio mnachimba tu kitakachopatika ndio hicho hicho
 
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na masuala ya uchimbaji visima kwa ajili ya mashamba ( I mean kumwagilia ) au kwa matumizi ya nyumbani
Bei zetu ni shillingi elfu sabini kwa mita moja ( tunaweka bomba pvc's na kukununulia pampu ) bomba zinazowekwa ni kutoka Arusha ambazo zina ubora pia tuna kuwekea polypipe yenye ubora. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma messeji,watsapp kwenda namba 0625576082
Karibuni sana
Nb: bei iliyowekwa hapo ni kwa wateja wa Dar es salaam tu
Hapa bagamoyo je mnafika japo maji yapo karibu mita 10 tu
 
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na masuala ya uchimbaji visima kwa ajili ya mashamba ( I mean kumwagilia ) au kwa matumizi ya nyumbani
Bei zetu ni shillingi elfu sabini kwa mita moja ( tunaweka bomba pvc's na kukununulia pampu ) bomba zinazowekwa ni kutoka Arusha ambazo zina ubora pia tuna kuwekea polypipe yenye ubora. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma messeji,watsapp kwenda namba 0625576082
Karibuni sana
Nb: bei iliyowekwa hapo ni kwa wateja wa Dar es salaam tu

Bei zenu zikoje kwa Kule Tandahimba,Mtwara?
Kuanzia survey mpaka kuchimba.
 
Hujatuambia bei za mikoani. Angalizo, msimu huu wa mvua water table imepanda sana, sasa maji utakayoyakuta yanaweza kukudanganya, kiangazi kikija yanakauka
 
Habari wana jf,sisi tunajishughulisha na masuala ya uchimbaji visima kwa ajili ya mashamba ( I mean kumwagilia ) au kwa matumizi ya nyumbani
Bei zetu ni shillingi elfu sabini kwa mita moja ( tunaweka bomba pvc's na kukununulia pampu ) bomba zinazowekwa ni kutoka Arusha ambazo zina ubora pia tuna kuwekea polypipe yenye ubora. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma messeji,watsapp kwenda namba 0625576082
Karibuni sana
Nb: bei iliyowekwa hapo ni kwa wateja wa Dar es salaam tu
Kigamboni meter moja ni bei gani?
 
Back
Top Bottom