Meneja napatikana hapa

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,350
2,054
Hello wakuu.
Mimi ni kijana wa miaka 32, Mtanzania niliyelelewa na familia ya wafanyabiashara, baadaye nikasomeshwa mambo ya uhasibu kwa ajili ya kuandaa Kodi.

Hivi sasa natafuta mradi wowote niusimamie ili kutumia vyema vipaji na elimu yangu kwani miradi ya familia kwa sasa wadogo zangu wanaenda nayo vizuri nami inabidi nisake changamoto eneo lingine.

Baadhi ya Maeneo nayofanya vizuri: Kodi, Marketing, Business plan na stock taking.
Kama una fikira za kuanzisha au kuendeleza mradi, tafadhali tuwasiliane kwa namba hapa chini.
0713-039875
 
Back
Top Bottom