Vitabu vya riwaya vinapatikana hapa...

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,677
Habari wanajamii?
Tunauza vitabu vya waandishi mbali mbali wa riwaya kama Ben Mtobwa, Hussein Tuwa, Beka Mfaume na wengine wengi.
Vitabu vinapatikana posta, kinondoni, bunju na kwa wale wanaohitaji kupelekewa mzigo mpaka walipo pia inawezekana.kwa walio nje ya dar pia tunasafirisha kwa basi au sanduku la posta.
Kwa anayehitaji vitabu apige simu namba 0763044459 au 0655428085.
Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom