NAUZA KIWANJA KIGAMBONI KIBADA

LJ BLOG

Senior Member
Jul 24, 2011
194
154
Habarini Wanajamvi. Nauza Kiwanja Changu Na Hizi ndio Taarifa za Kiwanja

Eneo: Kigamboni Kibada kwa Mwarabu, Jijini Dar Es Salaam
Ukubwa: Sqmeter 1084
Hati: Kina hati Ndio
Eneo ni tambalale, Huduma Zote Zipo.

Bei ni Milioni 65. Eneo hili halina udalali wala sihitaji Dalali.

Kwa Mawasiliano 0712 390 200
 
Una
Millioni 65? Soma alama za nyakati sio huu usawa wa brother Magu
chosema ni kweli lakini kama hatopatikana kisa usawa basi haitakuwa riziki lakini Hali iliyopo isishushe thamani ya eno husika mkuu. Asante sana na karibu
 
Habarini Wanajamvi. Nauza Kiwanja Changu Na Hizi ndio Taarifa za Kiwanja

Eneo: Kigamboni Kibada kwa Mwarabu, Jijini Dar Es Salaam
Ukubwa: Sqmeter 1084
Hati: Kina hati Ndio
Eneo ni tambalale, Huduma Zote Zipo.

Bei ni Milioni 65. Eneo hili halina udalali wala sihitaji Dalali.

Kwa Mawasiliano 0712 390 200
kwa 20,000,00/ itafaa
 
65 milions you can buy a good plot at CHANIKA for only 5 milions and build a better house for only 45 mil. And the rest you can buy a simple car.
Acha ndoto za utajiri kirahisi hivyo.
 
65 milions you can buy a good plot at CHANIKA for only 5 milions and build a better house for only 45 mil. And the rest you can buy a simple car.
Acha ndoto za utajiri kirahisi hivyo.
Go and buy chanika......naishi kigamboni tuachieni kigamboni yetu
 
65 milions you can buy a good plot at CHANIKA for only 5 milions and build a better house for only 45 mil. And the rest you can buy a simple car.
Acha ndoto za utajiri kirahisi hivyo.
Hayo ni Mawazo Yako Mkuu unapoona Huwezi kitu Unaachana nayo tu. Nenda kaulizie ndo utajua thamani ya Kitu. Ni maamuzi tu unachagua Unaenda Chanika, Masaki, Osterbay nk. Na Kila sehemu ina Value yake. Kwahiyo uchaguzi ni wako na uwezo wako sio swala la Utajiri
 
Habarini Wanajamvi. Nauza Kiwanja Changu Na Hizi ndio Taarifa za Kiwanja

Eneo: Kigamboni Kibada kwa Mwarabu, Jijini Dar Es Salaam
Ukubwa: Sqmeter 1084
Hati: Kina hati Ndio
Eneo ni tambalale, Huduma Zote Zipo.

Bei ni Milioni 65. Eneo hili halina udalali wala sihitaji Dalali.

Kwa Mawasiliano 0712 390 200
Wewe unaota ndoto za mchana Kibada haina kiwanja chenye thamani hiyo kwa usawa huu wa magu utasubiri sana
 
Wewe unaota ndoto za mchana Kibada haina kiwanja chenye thamani hiyo kwa usawa huu wa magu utasubiri sana
Nipo Tayari kusubiri Hata usawa Uwe wa Nani..Wewe ndo unasema labda kwasababu huelewi au hujui thamani ya kiwanja chenye hati Kibada Kigamboni. Ndio maana nipo tayari kusubiri hata labda sijui awamu tisa mbele mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom