Z zejono Member Mar 14, 2015 34 4 Mar 25, 2017 #1 Kwa mwenye kuweza kunitafutia au kuniambia ni sehemu gani zinauzwa hizi mashine ya kukata tiketi na na risiti pls aniambie kupitia uzi huu
Kwa mwenye kuweza kunitafutia au kuniambia ni sehemu gani zinauzwa hizi mashine ya kukata tiketi na na risiti pls aniambie kupitia uzi huu
Mwanzi1 JF-Expert Member Sep 19, 2016 6,000 4,589 Mar 25, 2017 #2 Hivi hii ni mashine au kifaa? Nailiza tu.