+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
Nimekutana na wanunuzi toka Rwanda wanahitaji mchele toka Pakistán mchele wenyewe uwe grade 2...ni ule uliyoandikwa 15% broken rice...
Package ya kila mfuko uwe 20 kg
Kwa wiki unahitajika hata...
Habari wakuu,nahitaji kununua mbaazi kutoka Manyara,mwenye nazo tuwasiliane kwa pm au kupitia namba yangu 0783724242
Idadi itategemea na bei tutakayo kubaliana.
Wasalaam.
Habari wana jamii
ninatafuta mayai ya kienyeji trey 50@12000
pia nauza vifaranga vya kienyeji kuanzia 2000-5000
napatikana KIJITONYAMA call/sms/whatsap 0659767196 karibuni sana.
Habari wadau. Natafuta fremu ya kupangisha maeneo ya survey, chuo kikuu, au ubungo. Fremu iwe na umeme na iwe karibu na barabara kubwa yeyote. Kwa mwenye nayo tafadhali nitafute kupitia 0788...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
Sasa naanza kukata viwanja katika shamba langu lililopo ITENDE MBEYA.
ni eneo zuri,huduma zote (umeme na Maji )vinapatikana,ni eneo ambalo ndo limeanza kujengeka sasa.
Kuna usafiri Wa bajaji,kwa...
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji.natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu, net salary ni 3,264,000 na January net salary...
Habari wadau!
Natafuta eneo la kufungua simple hand car wash kwa mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela.
Eneo ambalo naweza kuosha gari ndogo na pikipiki na liwe na uwezo wa kuegesha angalau gari...
Vijana wengi wanapomaliza elimu zao uanza kuangaika kutembea na bahasha kutafuta Ajira wakati huo wanamtaji mkubwa wa elimu kwa kuanza kujiajiri.
Ushauri kwa Vijana; Njia sasa ya kufanikiwa...