Ukubwa:mita 17 x 10
Location:"kwa mwenyekiti" mita 30 kutoka barabara inayoelekea cheki point I
Umeme uko jirani kabisa kama mita 20 tu
Bei:Milioni 2 na nusu(fixed mi ndio mmiliki hakuna dalali)...
Inavyumba vi3, jiko na frame mbili za biashara..ipo tanga mjini mtaa wa kwanjeka nyumba ya tanga xul..ina hali nzur na inafaa kwa kuish mwenyew au kupangsha..maji na umeme vp full time..
Bei ni...
Kipo Madale kwa kawawa, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mwenye mali ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni...
Nahitaji chumba kimoja chenye choo ndani.
Kiwe kikubwa kina tiles, gypsum, rangi nzuri .
Kiwe na Umeme, maji yawepo.
Kiwe maeneo Kati ya haha
Mwenge, sinza, Mwananyamala ila iwe karibu na...
Habari zenu
hapa mimi natafuta anaye uza madini kama tanzanite,
ruby,dhahabu,almasi na vingenevyo
lakini eshu langu ni (JIKO ) na vifa wa ugermani
e.g sahani, kisu, bakora, siniya, glasi...
Ninauza laptop aina ya Acer aspire Es1-512.Specs yake ni kama ifuatavyo
HD500
PROCESSOR-2.16 GHZ
RAM-2GB
Display/screen-15.6 inches
Ina betri imara inayoweza kukaa na chaji zaidi ya masaa...
Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na...