vivianlyimo_teamoriflame
Member
- Mar 10, 2017
- 91
- 53
New and Improved
PURE SKIN;
- Seti hii ni kwa mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea..
- Ni kwa ngozi ya mtu mwenye mafuta - Huondoa Chunusi mapele na madoa.
Set ina bidhaa Tano (5);
- Pure skin Purifying Face Wash
- Pure skin 2 in 1 Face wash and scrub
- Pure skin SOS Spot Gel
- Pure skin Blackhead Cleanser Mask
- Pure skin 1 Clarifying Face Scrub and 2 Purifying Face Mask
* Pure skin Purifying Face Wash (wash) [Daily care];
- Hii ni ya kuoshea uso ili kuondoa uchafu na kuondoa mafuta yaliyobaki usoni.
- Hii husaidia kuandaa uso kuwa tayari kupokea bidhaa nyingine.
- Hutumika kila siku.
- Inaujazo wa ml 150 na inapatikana kwa tsh 19,000/=
* Pure skin 2 in 1 Face wash Scrub (wash and scrub) [ weakly care];
- Hii ni scrub na pia inaosha uso, lakini hii inatumika kwa aliye na mapele makubwa makubwa.
- Hutumiaka Mara moja kwa wiki.
- Inaujazo wa ml 150 na inapatikana kwa tsh 19,000/=
* Pure skin SOS (prevent and reduce spots) [weakly care)];
- Hii huepusha na huondoa madoa usoni.
- hutumika mara moja kwa wiki
- Inaujazo wa ml 6 na inauzwa tsh 19,000/=
* Pure skin Blackhead Clearing Mask (clean) [weakly care];
- Pia husafisha ngozi ya uso.
-Hutumika mara moja kwa wiki
- Inaujazo wa ml50 na ni kwa tsh 19,000/=
*Pure skin 1 Classifying Face Scrub and 2 Purifying Face Mask (face scrub) [weekly care];
- Hii husaidia kuondoa uchafu usoni na seli zilizokufa.
- Inatumika mara moja kwa wiki.
- Ina ml 30 na inapatikana kwa tsh 5,500/=
Jumla kwa set bei itakuwa tsh 81,500/= lakn ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata set hii kwa punguzo la bei kwa 30%
Ukihitaji set hii wasiliana nami kwa simu namba 0672416294