Nyumba inauzwa Luchelele beach

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habari wakuu nyumba nzuri inauzwa Luchelele kando ya ziwa Victoria bei mil 70 maongez yapo kwa mawasiliano nichek WhatsApp 0763772636
9c56462e26e9b0cd4d10bbf3f00c8a94.jpg
3b1768c20d080a5c8624c03eaf445470.jpg
033f46d10b74b14757d27bc7562d0743.jpg
9e5cc9c7f0f993a7a169e8cf708bd105.jpg

Karibuni sana unaweza kui dezin ikawa apartment ukakodisha wazungu ukawa unakula dola tu
 
Hii si kama zile ulisema tunaweza kujenga kwa 32m vipi tena hii unatuuzia 150...70m?
Hiii ni ya mteja anashida ametuomba tumtangazie awali alikuwa anauza 150 akakosa mteja na shida ikawa kubwa zaidi Leo ameomba tukipata ata mteja wa 70 tumsaidie kuuza tu maana yuko juu ya mawe
 
Hiii ni ya mteja anashida ametuomba tumtangazie awali alikuwa anauza 150 akakosa mteja na shida ikawa kubwa zaidi Leo ameomba tukipata ata mteja wa 70 tumsaidie kuuza tu maana yuko juu ya mawe
Ikifika 10 uniambie,niko hapa Isamilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom