Natafuta nyumba ya kununua Mwananyamala

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,657
Wakuu habari za saa hizi?

Mimi nina shida ya kununua nyumba maeneo yawe Mwananyamala A au Mwananyamala Msisiri au Mwananyamala komakoma. Bajeti ni 50 milioni.

Tafadhali weka picha kisha ni pm kwa maelezo ya ziada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom