Nyumba inauzwa bei nafuu kabisa mil 18 tu

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habari wakuu kuna nyumba ya Vyumba vitatu tayari kuna wapangaji wanaishi ipo mbagala charambe ukubwa wa eneo ni 20*30 maji umeme yapo
Bei ni mil 18 upungufu kidogo upo
Pia tunaruhusu kulipa kwa instalment kulingana na makubaliano ila ukilipa cash tutafurahi zaidi
Sababu ya kuuza ni shida isiyokuwa na hodi imetufanya kufikia maamuzi haya
Karibu WhatsApp 0763772636
Call 0789047874
319103b4192e6938f18d2a4c20f49fdf.jpg
bbaad4d04bc3523f478aba087be7394e.jpg
3f4198473d93fe6ea377e3bc463a2182.jpg

Nyumba ipo Mbagala charambe
 
Nyumba mil 18 lazima kuna shida imejificha ndani yake siamini kirahisi hivyo
Ndio shida imejitokeza ndo maana nimeuza document zipo na tunaandikishiana mahakaman kwa usalama zaidi ili ujue nauza ili ninunue kitu kingine not otherwise
 
Pole sana mkuu kama hapajai maji wakati wa mvua basi hiyo ni bei chee makabidhiano fanyia ofisi za ardhi na huko mahakamani mimi nimeipenda ila Mbagala sio rafiki kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom