HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,413
- 6,134
Kama kichwa kinavyo jieleza nauza dagaa wa kukaangwa nawatoa mwanza hadi Dar na Moro nauza kwa kilo na kwa ndoo kilo 8000 karibuni nakuletea ulipo 0758844240
Kolomije huko ninaagent ukitaka utapatauwalete na huku koromije kwangu mkuu
eti wa kigoma unakwenda mpaka elfu 28! Ni kweli?Kigoma sina
eti wa kigoma wanauzwa mpaka elfu 28 kwa kilo?Kigoma sina
Yap ila Mimi kunandugu yangu anauza 20eti wa kigoma unakwenda mpaka elfu 28! Ni kweli?