Semina ya kufufua vitu vilivyokufa mjini Dodoma

Apr 21, 2017
11
39
Leo Ijumaa mpaka Jumapili nitafanya semina kubwa ya kufufua vitu vilivyokufa Ijumaa na Jumamosi muda ni saa kumi jioni kamili na Jumapili ni saa nne asubuhi nikihitimisha na ibada kuu.
Wote mnakaribishwa.
[HASHTAG]#prophetic[/HASHTAG] machine.
[HASHTAG]#Prophet[/HASHTAG] Linus Tesha.

cala copy.jpg
 
Semina hiyo itafanyikia kanisani au uwanjani? Kama ni kanisani ni kanisa gani?
 
Samahani nabii naomba unijibu maswali haya, ukinijibu vyema hakika takuwa mfuasi wako na familia yangu;
1.Kwanini manabii wengi huwa simu zenu hazina namba za simu za washirika wasio na pesa nyingi?
2.Kwanini masomo kama ya roho Mtakatifu hamufundishi ili pawepo na suluhisho la kudumu kwa matatizo ya watu/washirika?
3.Kwanini ibada kuu karibia zote ikiwemo ya Jumapili lazima muhubiri nyie madhabahuni hata kama hamjisikii vizuri kiafya?, je , Mungu hawezi kumtumia mtu mwingine kusema nawewe?.
4.Kwanini manabii wengi huona fahari kuwa na washirika wengi mahali pamoja bila kuwatawanya vijana wenye wito wa kazi yao Mungu wakafungue matawi nje?
5.Kwanini akaunti nyingi za kibenki za makanisa ya kinabii hufunguliwa kwa majina ya nabii tu au mke wake na si joint akaunti?
6.Maswali mengine nayatunza kwa utukufu wa BWANA.
NOTE:Nimeuliza haya si kwa kukutuhumu bali ndivyo wanavyofanya manabii wengine wengi.
 
Sasa naelewa kwanini thread nyingine ulipiga picha ikang'aa ningeshangaa nisingekuta uzi wa hivi.

(Kila nafsi itaonja mauti) sasa wewe unabishana na muumba wako yeye afishe wewe ufufue kweli?
 
Vitu sio viumbe hai kwahiyo havifi !!! au ni vitu gana anavizumgumzia ?
 
Samahani nabii naomba unijibu maswali haya, ukinijibu vyema hakika takuwa mfuasi wako na familia yangu;
1.Kwanini manabii wengi huwa simu zenu hazina namba za simu za washirika wasio na pesa nyingi?
2.Kwanini masomo kama ya roho Mtakatifu hamufundishi ili pawepo na suluhisho la kudumu kwa matatizo ya watu/washirika?
3.Kwanini ibada kuu karibia zote ikiwemo ya Jumapili lazima muhubiri nyie madhabahuni hata kama hamjisikii vizuri kiafya?, je , Mungu hawezi kumtumia mtu mwingine kusema nawewe?.
4.Kwanini manabii wengi huona fahari kuwa na washirika wengi mahali pamoja bila kuwatawanya vijana wenye wito wa kazi yao Mungu wakafungue matawi nje?
5.Kwanini akaunti nyingi za kibenki za makanisa ya kinabii hufunguliwa kwa majina ya nabii tu au mke wake na si joint akaunti?
6.Maswali mengine nayatunza kwa utukufu wa BWANA.
NOTE:Nimeuliza haya si kwa kukutuhumu bali ndivyo wanavyofanya manabii wengine wengi.
Akijibu niite
 
Tesha! Tesha, hivi unabii unaujua vizuri wewe, unabiii huu huu aliokua nao Musa, Miriam, Daniel ,Mika na wengineo? Haya unayoyatangaza hata Mtume Paulo hakuwahi kufanya hivi nakuhubiri kwake kote,
 
Back
Top Bottom