Laini ya uwakala ya Mpesa inauzwa

DjpM

Member
Feb 12, 2017
43
11
Kwa anayehitaji aniPM tufanye biashara, bei inapungua,, mimi nipo Dar bei ni 170000
 
Hivi huwa kuna ugumu gani hizo line kuzipata huko kwenye makampunu husika hadi zinafia kutangazwa sana hapa JF? Mie nilidhani hiyo biashara mtu unaingia mkataba na Voda au Tigo kwa maana ya ulinzi wa fedha kisheria kumbe zinaweza kuuzwa tuu kama nguo ya mtumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom