Make : Toyota
Model : Voxy
Mileage : 100,860km
Engine size: 1,990cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2004
Doors : 5
Seats ...
Habari wanajamvi!
Ninauza maharage ya Kigoma ya njano tani moja! Mzigo upo DSM,@ kilo ni TZS.1,600/=
Anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0621002220!
Karibuni!
Wadau,
Heshima zenu nyote.
Mimi nina hobby ya kupiga picha na ninahitaji background sheet mpya (yaani kile kitambaa chenye mchoro fulani kinachowekwa nyuma ya mteja ili kuleta mandhari mazuri...
Absolute printing service Ltd ni kampuni inayousika na utatuzi wa matatizo yote ya printing
Kama vile uhuzaji wa machine za printing na vifaa vyake, designing, branding na printing.
Tunafanya...
Lipo ktk tarafa ya Lupembe mkoani NJOMBE
Lina ukubwa Wa ekar 500
Bei ni tsh 100000
Na linauzwa kuanzia ekar 50
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929
Habari za majukumu ya hapa kazi tu huku tukiendelea kusoma namba
Chumba na sebule kinapangishwa
mahali Mabibo mwisho
Bei elfu 80 kodi ya miezi sita
Sifa za nyumba
Kuna geti
Maji yapo ya bomba...
Habari za muda huu,
samahani naweza kupata simu ya Tecno ya bei chee ambayo ni used!
Simu yoyote kuanzia Android 2.3.5 Gingerbread na kuendelea!
Iwe P3,L3,M3 wewe weka bei tu
Kikubwa iwe na...
Habari!!!!
Kama title inavyojieleza, natafuta mahali ambapo naweza kufungua mgahawa kwa Dsm,,, nahitaji mongozo wenu kama kuna sehem unaifaham nipr direction tafadhali.
kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 50 kwa 50 kinauzwa kipo maeneo ya mbande/rufu kiwqnja kipo jirani na barabara umeme na maji umefika mpaka mlangoni...
bei sh 4.5M maelewano yapo
kwa...
Nahitaji simu wakuu kama heading ilivyojieleza hapo juu, iwe mpya. kama sitopata basi hata ushauri wenu ni muhimu ili nikienda dukani nisibabaike sana.
Niko Tanga
Natanguliza shukrani
Habari za mchana ndugu zangu kama wewe ni mtaalamu wa kutengeneza online matangazo njoo PM
Nahitaji kutengeneza online advisement.... Please PM...Fasta