NAWEZA KUPATA TECNO SMARTPHONE YA BEI RAHISI AMBAYO NI USED?

Poluyakhtov

JF-Expert Member
May 9, 2017
356
297
Habari za muda huu,


samahani naweza kupata simu ya Tecno ya bei chee ambayo ni used!

Simu yoyote kuanzia Android 2.3.5 Gingerbread na kuendelea!


Iwe P3,L3,M3 wewe weka bei tu

Kikubwa iwe na uwezo wa kufungua documents tu!

Shukrani.
 
Back
Top Bottom