Kiwanja kinauzwa

May 9, 2017
5
2
Eneo morogoro makunganya, kimepimwa, kina ofa, ukubwa 51207 sq m. Ni kwa ajili kujenga shule sekondari. Kwa mawasiliano 0754319861, 0715319861
 
badala ya kuandika mteja afanyie nini hicho kiwanja ungeandika bei yake tu
 
Yaani we muuzaji unampangia mteja kitu cha kufanya?

badala ya kuandika mteja afanyie nini hicho kiwanja ungeandika bei yake tu

Kiwanja chenye hati kinakuwa kimeeleza kuwa hicho kiwanja ni residential au Commercial au cha huduma za kijamii km shule, hospital au nyumba za ibada, inawezekana sio kosa la muuzaji
Shida kubwa ya muuzaji ni kutokuweka bei, sijui anaficha kitu gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom