Kama kichwa kinavyo jieleza nauza dagaa wa kukaangwa nawatoa mwanza hadi Dar na Moro nauza kwa kilo na kwa ndoo kilo 8000 karibuni nakuletea ulipo 0758844240
Habari wana jf,
Rafiki yangu ana Biashara na hivyo anahitajika kununua mashine ya EFD ila hana uwezo wa kununua hivyo anatafuta kama ataweza kupata kwa mtu ambaye alinunua na baadae akafunga...
Habari za jioni wadau,anayejua kuhusu bei za vitenge aina zote na jinsi zinavyouzwa kuna mtu yupo mkoani kaniuliza anataka kujua ili aangize,naomaba msaada wenu ili ajue na kama akiagiza yeyote...
salaam,
nauza Simu aina ya huawei p9 lite au nabadilishana na kuongezwa pesa
price ni 400k maongez yapo
Camera-13mp
sec Camera-8mp
Ram-2gb
Internal storage-16gb
android version ni 6 ila inafaa...
Nimenunua line ya uwakala ya VODA kwa mtu nikawa naifanyia kazi kwa muda tu mrefu kidogo na kwabahati mbaya ofisi yangu ikawa na migogoro ikawa ikawa haifanyi kazi kwa muda ikaja ikafungiwa na...
Habari wanajamvi,
Kwalioko maeneo ya kariako ama wanaojua bei za pikipiki aina ya kinglion 150 wanipe bei za jumla na rejareja za sprocket complete.
Karibuni sana,
By
Dimaa.
NI HABARI NJEMA TENA KWA WEWE AMBAE NI MUHITAJI WA KUCHIMBIWA KISIMA CHA KARAVATI.
TUNATOA MKOPO KWA WALE WOTE WATAKAOKUWA TAYARI KUINGIA MKATABA.MKOPO HUU HAUTAKUWA FULL BALI KATIKA GHARAMA YA...
BEI MIL 25...
MILAGE 150000
ENGEN MODEL V6 20QR
INATUMIA PETROL...
MANUAL TRANSMISSION
GARI HII ILINGIA NCHINI TOKA JAPAN MWAKA JANA MWEZI WA NANE...GARI NI NZIMA NA HAINA SHIDA YOYOTE
KWA...
Tv aina ya SAMSUNG SMART LED INCH 32 TOLEO LA 2015, MODEL UA32J4303, .. NI MPYA KABISA, IMETESTIWA TU,.. BEI YAKE NI TSH 650,000.. KWA SERIOUS BUYERS TUWASILIANE.. 0754849763..NAPATIKANA DAR ES...
Nipo dar mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji nmeamua kuingia kwenye sekta ya uuzaji na usambazaji wa mayai ya kienyeji nasambaza dar es salaam na mikoani pia 0659510745 tuwasiliane hapo
IWE NAMBA C KUNA MTEJA ANA MLN SABA CASH ....DIRECT BUYER
NNAYE ...KAMA UNAYO NJOO NKUNGANISHE NA MNUNUZI
GARI IWE NZIMA KUANZIA ENGEN,BODY HAIJAGONGWA,WALAPIGWA RANGI,
KAMA NAYO GARI AINA HIYO...
Habari zana JF?
Leo nimeamua kuwaletea series ya masomo ya website develop kuanzia level ya chini kabisa mpaka level ya juu!! nimeanzisha youtube channel ambapo nitaweka masomo mbali mbali kuhusu...
Gari Haidaiwi vibali ......
Imetembea km 110000
AC TU ndiyo shidaa....
Inauzwa 5.5m(fixed)muuzaji anahitaji hela fasta....kazi kwenu walengaji...gari hii hapa...
Gari inapatikana temeke,dar
Piga...
PRINTER ILISHAUZWA! BIASHARA IMEFUNGWA
Habari
Aina: Hp deskjet ink advantage
Model: model 1515
Rangi yake: Nyeupe
Inatumia cartiledge no: 650
Ina uwezo: Printer, Scan na Photocopy
Muda...
Wadau naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu duka dar es salaam wanapouza sheet za karatasi nyepessi pamoja na nzito zinazotumika kutengenezea ma box pamoja na mifuko.....natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.