Chumba kinapangishwa

uwepo

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
600
741
Habari za majukumu ya hapa kazi tu huku tukiendelea kusoma namba

Chumba na sebule kinapangishwa

mahali Mabibo mwisho

Bei elfu 80 kodi ya miezi sita
Sifa za nyumba
Kuna geti
Maji yapo ya bomba na kisima cha kutunza maji pia kipo

Mteja ninayemtaka
awe mwanafunzi wa chuo chochote hata mkiwa wawil si mbaya jinsia yoyote hamna neon
Angalizo kama dalali usijisumbue................................................................

Mawasiliano 0717184353
 
Back
Top Bottom