Nahitaji background sheet mpya

Nahitaji background sheet mpya

Musundi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
1,584
Reaction score
2,613
Wadau,

Heshima zenu nyote.

Mimi nina hobby ya kupiga picha na ninahitaji background sheet mpya (yaani kile kitambaa chenye mchoro fulani kinachowekwa nyuma ya mteja ili kuleta mandhari mazuri katika picha). Napendelea zaidi chenye madhari ya ufukweni. Yeyote anayeweza kunisaidia kukipata, naomba maelekezo tufanye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom