Dar Es Salaam kiwanja chenye hati ni cha Magogoni tu! Hata uwanja wa taifa sidhani kama una hati...Lina hati?
Mmmh haya hapa kazi tuDar Es Salaam kiwanja chenye hati ni cha Magogoni tu! Hata uwanja wa taifa sidhani kama una hati...
Mbona Mie ninacho kiwanja kina hati daressalaam?Dar Es Salaam kiwanja chenye hati ni cha Magogoni tu! Hata uwanja wa taifa sidhani kama una hati...
Hiyo hati yako itakuwa sawa na cheti feki... Ngoja ukaguzi wa hati upite, utakuja kulia lia hapa. Usitupe ile leseni ya makazi kisa umepata hiyo hati feki!Mbona Mie ninacho kiwanja kina hati daressalaam?