Natafuta gari tubadilishane na mbao

JACKBIZZO

Member
Jul 11, 2013
83
12
Habari za Leo wadau,

Natafuta Gari tubadilishane na Mbao za paini za kipimo atachohitaji, yeyote aliye na Gari ataeridhia hili, niko Mufindi mkoani Iringa. Nahitaji Gari kati ya
Noah, Carina, au Caldina. Thamani ya Gari ndiyo itatoa kiasi cha Mbao.

Kwa mawasiliano karibuni +255768181757

Karibuni.
463ceadbd6ed2eadb919b9df01df474d.jpg
 
Back
Top Bottom