Max malipo, laini ya M. Pesa na mashine ya beting zinahitajika

Max malipo, laini ya M. Pesa na mashine ya beting zinahitajika

Dominick mibazi

Senior Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
177
Reaction score
96
Wadau,

Nahitaji hivyo vitu hapo juu,

Nimejaribu kufatilia kwenye office zao hasa M. pesa na mashne ya betting wote wanataka leseni ya biashara mimi bado sijakata. Max malipo au selcom sijajua mashariti yao hata ofice zao sijui ziko wapi kwa Arusha.
 
Wadau naitaji ivyo vitu hapo juu nmejaribu kufatilia kwenye office zao hasa m. pesa na mashne ya betting wote wanataka leseni ya biashara me bado cjakata. Max malipo au selcom cjajua mashariti yao hata ofice zao cjui ziko wap kwa arusha
Nikuuzie selcom laki 400,000, usafiri kuleta arusha juu yangu
 
Back
Top Bottom