Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wanao hitaji ku kunakshi nyumba zao kwa maua mbali mbali ya perving na imara ni cheki., 0753422844., 0718930097
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Anayeuza aje inbox
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza simu tajwa hapo juu Tecno C8 Tsh 180000(Laki moja na Themanini) Ipo katika hali nzuri tyu. Imetumika mwezi mmoja Kwa mawasiliano 0675636863 au 0762504906
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Husika hapo juu wakuu, Nataka kujikita ktk biashara ya Asali ili niweze kujikwamua kimaisha, Nataka kutoa Asali Tabora na kusafirisha Dar. Sasa naomba kufahamishwa kwa huko Dar ni wapi ntapata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa habarini za leo na za majukumu pia,samahani kama kuna mwenye uzoefu ni jinsi gani ya kuanzisha kampuni na ofisi ya magari ya kukodisha kama TOURS,taratibu zake za kufuata japo mpaka sasa...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Wanaja jamvi napenda kuwajulisha kuwa kuna eneo linauzwa pale maswa mjini mtaa wa majengo mapya karibu na hospitali ya wachina , eneo limepimwa na lina viwanja vinne vilivyo...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Kwa Arusha tu.. Bei Tshs 150,000 punguzo unaongea.. Ni mpya haijatumika hata mara moja, ipo kwenye kasha lake na kila kitu. Mawasiliano / Maelewano 0766474499
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Ni mpya haijatumika na wala haijatolewa kwenye kasha lake, bei ni tshs 150,000 na mazungumzo yanakaribishwa.. features / support... A4 Injet... 3-D object.. Photo.. Newsprint.. Magazine...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema sehemu wanapouza deepfreezer ya zec size ya kati na bei yake aweke na picha lakin iwe dar nichek 0787384659
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyota Prado 1KZ Diesel Engine Km190k Contact 0688300088 Duty Paid with new tyres. 19,000,000/=Mazungumzo yapo karibu.
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Pata simu LG G5 used but in good condition kwa bei rahis. 0766728326. Location Mbeya. Internal storage 32 GB RAM 4 GB Front Camera 16 MP Price 600,000 . maongez yapo. Au tunaweza kubadilishana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu samsung A5 inauzwa kwa laki 3 na nusu bado mpya kabisa Samsung s7 inauzwa laki 6 na nusu Simu zote bado zipo katika hali nzuri sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga, Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA. Ofisi ipo...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nauza Gari Toyota Hilux Single Cubin Model 1999 CC 2779 Mil 35 Maelewano yapo Call/Whatsap 0784834970
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu tunauza viwanja vya bei nafuu sana ukubwa ni 20*40 vipo kibaha Ruvu karibu na Bandari kavu viwanja vyote vimepimwa kabisa bei ni laki tano tu kwa kila kiwanja karibu uchukue form kwa shiling...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Huawei Mate 8 (64Gb)HongKong 890000 Huawei Mate 8 (64Gb)U.S.A 860000/= Huawei Mate 8 (32Gb)Hongkong 800000 Huawei Mate 8 (32Gb)U.S.A 780000/= Huawei P9 Plus 1020000/= Huawei P9(32Gb)...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Utangulizi... je unahitaji simu mpya au used katika hali ya upya upya au unataka kuuza simu yako ndani ya nusu saa basi reseller_tz ndo suluhisho lako. Pia tunahusika na uuzaji na ununuzi wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta radio ya gari aina ya porte iwe na uwezo wa lusoma flash dvd bluetooth cd nk. Nataka used or mpya
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%) 8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4) Jumla kuanzia pea 10 8*8 @65000 Kwa waliopo Dar derivery ipo, gharama ya usafiri juu ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…