NAUZA VIFAA VYA BIASHARA

quant

Member
Apr 7, 2017
17
45
Habari ndugu zangu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga,
Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA.

Ofisi ipo mwananyala kwa kopa, karibu na kituo cha polisi au uwanja wa mpira kwa kopa,

Kwa sababu za umbali nimeshindwa kuisimamia na kuiendeleza hivyo basi nimeamua kuiuza kama mtu atanunua pia nauza vifaa vya ofisi,

Ofisi ina vitu vifuatavyo.

SUBWOOFER NDOGO

VITI VYA PLASTIKI VIWILI

MEZA KUBWA, (SERVICE DESK YA MBF)

BANGO ZA AINA ZOTE,

TILL YA TIGO

TILL YA VODA

TILL YA HALOTEL

TILL YA AIRTEL MONEY

MAX MALIPO MACHINE

Kwa atakaye hitaji ofisi nzima nitauza kwa Tsh. 1.3 millioni ambapo ni vifaa vyote pamoja na mkataba wa frem unaisha mwezi wa kumi tarehe 10. Jina na usajili wa till zote nitahamisha kwake ila awe na nyaraka za biashara TIN NA LESSENI.

KWA KIMOJA KIMOJA NAUZA KAMA IFUATAVYO

TIL TIGO 200,000

TILL VODA 150,000

TILL AIRTEL 80,000

TILL HALOTEL 50,000

MAX MALIPO 450,000

SERVICE DESK 200,000

VITI 2 PLASTIC 25,000

MABANGO YOTE 25,000.

SUBWOOFER 100,000

KWA ANAYEHITAJI KUENDELEZA BIASHARA NI PAZURI PAKIWA NA USIMAMIZI MZURI NA ITAMPASA AONGEZE MILLIONI 2 AU HATA 1 NA NUSU KUENDELEZA BIASHARA.


KWA MAWASILIANO ZAIDI NA MTU ALIYE SERIOUS TUWASILIANE KUPITIA

0674 637243

MTEJA ALIYE SERIOUS PLEASE TUEPUKE USUMBUFU USIO LAZIMA.

NIWATAKIE SIKU NJEMA.
 

NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,512
2,000
onyo: ukinunua hizo till / laini za pesa wanaziswapu na kuibiwa bela yako yote.

hii pesa haijawahi kumwacha MTU salama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom