House4Sale House for sale Location goba price Tsh. 200.000.000/= million Call+255717097905

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,253
2,000
your not serious.... nyumba hii iwe 200M pengine unatania tuu hela uliyotaja ni ndogo kwa hiyo nyumba
 

geofrey.zenze

Member
Mar 5, 2015
32
95
Mh hata hiyo pesa ilivyoandikwa !!! Dah hiyo ni shilingi mia mbili na nukta sifuri.au macho yangu hayaoni vizuri mnisaidie. Alafu mbele yake imeandikwa tena neno millioni.ubabaishaji katika kuandika tangazo sasa sijui kama hiyo biashara itakuwa ya uhakika.unajua udalali na wenyewe unapaswa kuwa na uelewa wa kiasi flani.sasa kuandika tu ni shida.OK ALAFU UNGEICHAMBUA KIASI FLANI JINSI ILIVYO, NK.alafu kuweka picha moja tu wakati nyumba ina pande 4 nayo inatupa mashaka huko kwingine kuna nini.
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,342
2,000
Nimeipenda ilivyo,ramani ya mbele kabisa hyo,ingekuwa mil60 ningeichukua mkuu,ila hivyo ilivyo ingekuwa bahari beach ningekupa hata mil300 mkuu,kila la heri
 

mbayumbayu

Member
Jan 25, 2012
92
125
Hiyo nyumba ina ukuwa wa sq. m. ngapi? Iko kwenye kiwanja cha ukubwa gani? Je kiwanja hicho kimepimwa? Kina hati? Maji na umeme vipo? Udalali wako wa shida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom