Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai

EBBAH

Member
May 8, 2017
75
73
Husika na Kichwa cha habari..natafuta wafugaji wa kuku wa mayai wenye uwezo wakuzalisha mayai mengi kwa siku walio katika maeneo haya;Dar es salaam,Kibaha na Bagamoyo.nahitaji MAYAI yakutosha.Mawasiliano 0716-403-214
 
Nipo mwasonga one wiki ahead yatakuwa yameanza kupatikana ninao Kuku chotara wa mayai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom