Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,283
- 7,834
Deleted
20KgHivi debe moja lina kilo ngapi?
Duh kweli. Yana majiaHayo yalifungiwa wapi? Yameanza kuchacha
Huwenda yako vizuri sema muonekano tu wa picha uko vibaya.Hayo yalifungiwa wapi? Yameanza kuchacha
Bila shaka ni mahindi mapya. Nyanda za juu kusini mvua huanza mwezi Oktoba/Novemba. Sasa hivi wanavuna mahindi huko.Hayo yalifungiwa wapi? Yameanza kuchacha