Noah inahitajika

Noah inahitajika

IWE YA NAMBA D NA BUDGET YANGU NI MILLION 9,.MWENYE NAYO ANIFATE INBOX
Iko moja inauzwa 9.5 ila ukipamabana n'a mmiliki anaweza shuka kama Uko serious naweza pm namba ya mmiliki umpigie na uende ikaguaa gari....

Ova
 
Kuna uzi apa jamaa anauza noah new moɗel ml 10 kwa 9 anakupa
 
Mbona Uko kimyaa au ushapata gari

Ova
 
mkuu kwa Noah SR40 namba d unapata kwa 9 million ila uwe makini sana ,maana zile gari ni ngumu na inafanya mambo mengi
 
mkuu siku nyingine usinunue gari kwa vigezo vya namba kuna gari no B unakuta imesimama kuliko D
 
Mkuu nina Noah New Model namba B,ninaitumia kwa matumizi binafsi,ni mpya mnoo,kuna namba D hazitii mguu. No 10ml,ila kwa bei hiyo nakupa mkuu. Iko Kidatu Morogoro
20160511_173859.jpg
20170504_094408.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom