Nahitaji kujua Salon nzuri ya kiume ya kunyoa Dodoma

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
Nipo Dodoma. Naomba kuelekezwa salon nzuri ya kiume. Wanaonyoa vizuri na wanaotumia vifaa vya usafi. Haijalishi wananyoa tsh ngapi.
 
Usafi upi boss? Unataka kusema umeshapitia baadhi ukakuta chafu?Mtumie text Pm Majaliwa atakuelekeza.
 
Mkuu nenda majengo jirani na mshikamano stand(zamani) kuna dogo anaitwa Sheby balaa huyo mpaka kiduku kama kile cha davala anakutoa
 
Back
Top Bottom