Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Qchicks solution ni kampuni changa inayojihusisha na ufugaji wa kuku wa asili, katika kujiongezea uwezo,Kampuni ipo mbioni kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa Kienyeji katika eneo lililopo Kibamba Luguruni (Dar es Salaam).Hivyo anahitajika mfanyakazi (Poultry Hand) kwaajili ya kuangalia kuku kwa ujumla na usafi.
Qualifications
1.Muombaji awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea 2.Muombaji awe na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili katika ufugaji wa kuku au awe amehitimu masomo ya ufugaji katika ngazi ya cheti/diploma.
3.Muombaji awe ana lèseni ya udereva
4.Muombaji awe tayari kuishi kwenye eneo la mradi.
5.Muombaji awe na uwezo wa kufanya kazi peke yake au kwa usimamizi mdogo.
Unaweza kutuma maombi yako kupitia barua pepe: qchicksolution@gmail.com
deadline ni tarehe 9 june 2017