Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau. Nina kuku watatu wa kienyeji pure nawauza. jogoo mmoja na majike mawili, woote kwa pamoja wanagharimu elfu hamsini za kitanzania. karibuni sana napatikana kivule. ukihitaji kama uko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kwa mtu aliyesoma veta chang'ombe anipe mawasiliano ya msajiri natafuta nafasi jamani
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Moo Entertainments is a Modeling Agency in Dar es salaam - Tanzania.. If you need Models and video Queen for Fashion show and advertising... please well come to Our Office. contacts: +255...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
TANGAZO! Kwa wale Wale walionunua hisa za Vodacom, Majina yenu yamebadilika immediately leo hii kutoka wawekezaji watarajiwa hadi wamiliki na kuingizwa rasmi kwenye kitabu cha Wamiliki wa...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
Camera zilizokua maarufu Sana kabla ya digital, zpo 2 nilikua natumia na zpo vzr Sana kwa ambae anahtaj tuwasiliane tuuziane maana sizitumii tena! Bei maelewano tu kwa anaehtaji nicheck...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Elfu 28,000/= Elfu 28,000/= 22,000/= Elfu 25,000/= Elfu 30,000/= Elfu 30,000/= Size 42.Elfu 30,000/= Ngozi size 44...35,000/= Karibuni sana. Size 44.Bei 35,000/= Size 44 .Bei 35,000/=...
5 Reactions
98 Replies
29K Views
Yeyote anaehitaji simu used ya aina yeyote ile naomba anitafute kw namba 0717340502 tufanye biashara
0 Reactions
14 Replies
46K Views
Elfu 60 tu mpigie muhusika0629204884 tandika kwa kidagaa barabarani kabisa simu haina tatizo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza Zulia 80,000. Lina ukubwa wa urefu mita4 na upana mita3 ni Yale mazulia yakupima Maua yake ni draft lina rangi ya kaki, nimelitumia mwaka1 sasa, nimeshindwa kuupload picha mnisamehee
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wanajamvi,natafuta mtu ambaye anaweza kubadilishana na mm simu natumia TECNO L9 PLUS ni mpya ina wiki mbili na nina kila kitu mpk risiti na mimi nahitaji kupata TECNO CX nimetokea tu...
1 Reactions
6 Replies
827 Views
Napangisha nyumba Dodoma Mjini (area E ) ina vyumba vinne kimoja master, jiko, sebule na public toilet ipo ndani ya fensi bei laki nne Kwa mwezi kodi yangu miezi 12 au 10. Madalali mnakaribishwa...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Habari wadau, natufuta pool table budget yangu ni tsh 400,000/- kwa alienayo tuwasiliane hp 0789934593.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Husika na somo tajwa hapo juu. Simu ni original na haina shida yoyote zaidi ya nyufa kwenye kioo kwa pembeni ambazo hazionekani pindi utumiapo simu. Simu ipo Dar ina ukubwa wa 32 GB na rangi ya...
0 Reactions
1 Replies
568 Views
Nahitaji flash box aina ya octopus toleo jipya
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habar za muda, nauza hii laptop ni used kidogo lakini haina matatizo yoyte ni hp probook 6555b RAM 4GB INTERNAL STORAGE 250GB PROCESSOR 2.3GHZ PRICE 220,000/= LOCATION DAR ES SALAAM CONTACT
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji pkpk na kujua yafuatayo 1:Bei 2:ubora wake 3:upatikanaji wake
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama una-supply au unafaham mahali zinapatikana naomba taarifa... Nashukuru. From Dodoma.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, natufuta pool table budget yangu ni tsh 400,000/- kwa alienayo tuwasiliane hp 0789934593.
0 Reactions
4 Replies
606 Views
Wanabodi natafuta mtu wa kubadilishana nae laptop mimi natumia chromebook ila nataka mashine ya window so kwa yeyote aliye tayar anichek PM, Mashine yangu haina tatizo lolote except spika imeanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji tv flat iwe used au mpya kuanzia 24 inch,iwe inaingia flash.budget yangu ni laki 2. Mwenye nayo 0717959609
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…