Tangazo! Tangazo! Kwa wanunuzi wa hisa za Vodacom

TANGAZO!

Kwa wale Wale walionunua hisa za Vodacom, Majina yenu yamebadilika immediately leo hii kutoka wawekezaji watarajiwa hadi wamiliki na kuingizwa rasmi kwenye kitabu cha Wamiliki wa Vodacom. :);):D
Furahia kuwa mmiliki wa Vodacom Tanzania
[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]

Asante kwa taarifa hii sasa ninaamani kwa kumiliki hisa za Vodacom Tanzania.
 
TANGAZO!

Kwa wale Wale walionunua hisa za Vodacom, Majina yenu yamebadilika immediately leo hii kutoka wawekezaji watarajiwa hadi wamiliki na kuingizwa rasmi kwenye kitabu cha Wamiliki wa Vodacom. :);):D
Furahia kuwa mmiliki wa Vodacom Tanzania
[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
Vizuri sana kwa taarifa hii,mimi tayari nimeishawekeza katika hisa za vodacom nashukuru kwa kuwa sehemu ya umiliki wa Kampuni ya vodacom.
 
Vizuri sana kwa taarifa hii,mimi tayari nimeishawekeza katika hisa za vodacom nashukuru kwa kuwa sehemu ya umiliki wa Kampuni ya vodacom.
Hongera sana ubarikiwe mmiliki wa kampuni makini ya Vodacom Tanzania.
 
Nawaonea huruma sana kuna sehemu za kununua hisa ila hapo pa Voda 4G inabidi mjifunze msemo usemao "mvumilivu hula mbvu"
 
kweli kabisa fursa hii ni ya kipekee kabisa kwa vodacom hasa kwa kuwawezesha watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa Kampuni hiyo
Yeah nawashangaa watu wachache wanapobeza fursa hii ya kununua hisa za vodacom Tanzania.
 
Back
Top Bottom