Kuku wa kienyeji halisi wanauzwa

andrea robert

Member
Aug 22, 2013
10
0
Habari wadau. Nina kuku watatu wa kienyeji pure nawauza. jogoo mmoja na majike mawili, woote kwa pamoja wanagharimu elfu hamsini za kitanzania. karibuni sana napatikana kivule. ukihitaji
kama uko dsm, nitakuletea

Mawasiliano: 0752822161
 
Kula 40000, niwachukue

Fanya 45,000/ tumalize biashara. Jogoo mwenyewe ndo huyo na moja ya majike ni yule mweusi
 

Attachments

  • kuku1.jpg
    kuku1.jpg
    296.1 KB · Views: 56
  • kuku2.jpg
    kuku2.jpg
    37.3 KB · Views: 52

Similar Discussions

Back
Top Bottom