Kwa wadau wa photo/video production, natafuta background za studio za kupigia picha

photoshop

New Member
May 17, 2017
1
0
Wadau, heshima kwenu.
Mimi ni mpiga picha mwenzenu niko Geita
Natafuta zile background za studio (vile vitambaa maalum vya studio kwa ajili ya kupigia picha za still)
Vinakuwa kama picha flani hivi za ufukwe au bustani ya maua nadhani wazoefu mmenielewa namaanisha kitu gani.
Nahitaji kwa yeyote anayeweza kuwa navyo basi anicheck PM tuwasiliane fasta.
Mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom