Nina camera aina ya YASHICA original njoo nikuuzie!

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Camera zilizokua maarufu Sana kabla ya digital, zpo 2 nilikua natumia na zpo vzr Sana kwa ambae anahtaj tuwasiliane tuuziane maana sizitumii tena!

Bei maelewano tu kwa anaehtaji nicheck 0765-190024 au 0713-193781
Napatikana Tanga(mji wa mahaba).
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,099
2,000

Weka bei hapa,mzee toka mji wa mahaba,pia weka picha mkuu wengine tumeanza kuzisahau!
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Weka bei hapa,mzee toka mji wa mahaba,pia weka picha mkuu wengine tumeanza kuzisahau!
Picha hzo hapo mkuu, enzi zile nilikua nikiivaa shingoni ni mwendo wa kumulika tu na kula adv hata kama huna mkanda! Bei tsh 150,000/= zote, ninazo 2, ukitaka 1 nipe 80! Cha kale ni dhahabu na hakna jpya chn ya jua,

Karibu Mzee!
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Nafkr umezkumbka zilivyo mkuu, super! Nile za toleo la kwanza kabsa na nzto, pcha zake zpo clear sana mithli ya Digital!
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,099
2,000
Nafkr umezkumbka zilivyo mkuu, super! Nile za toleo la kwanza kabsa na nzto, pcha zake zpo clear sana mithli ya Digital!
Umenikumbusha mbali sana mkuu,MZEE wangu alinunua Yashica miaka ya 94,alikuwa anaonekana ni moja ya wajanja wa kijijini,alinunua mpya 45k.
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
45k ya 94 sahv ni mara 4 ya thaman ya hela yetu ya kibongo, nakmbka nilikua kwenye gradu ya primary fulan mi nikiwa sec, mikanda 7 iliisha na bado watu wanataka PC nawanatoa hela cash, nikaanza kupga flash huku nachukua hela! Mpaka usku SAA 4 ukipga flash wanajua PC badae niliposafisha hazpo nikawaeudia kuwapga huku tayr nmetumia fursa!
 
SIM

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
1,709
2,000
Picha hzo hapo mkuu, enzi zile nilikua nikiivaa shingoni ni mwendo wa kumulika tu na kula adv hata kama huna mkanda! Bei tsh 150,000/= zote, ninazo 2, ukitaka 1 nipe 80! Cha kale ni dhahabu na hakna jpya chn ya jua,

Karibu Mzee!
Mkuu ni 150,000 au ulikusudia kuandika 15,000
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Pia enz za sec ni shda, watoto kike wanashobo kama nn, ukiwa unawataka ni mwendo kuzngusha rungu2!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom