Nasri Julius
Member
- Apr 23, 2017
- 27
- 4
Naomba kwa mtu aliyesoma veta chang'ombe anipe mawasiliano ya msajiri natafuta nafasi jamani
Naomba kwa mtu aliyesoma veta chang'ombe anipe mawasiliano ya msajiri natafuta nafasi jamani
Salaam,Jamani mbona siku hizi kila kitu kipo tu katika Mitandao? Kama umeweza kuja humu JF umeshindwa nini tu Mkuu kuingia katika Website yao ili upate details zote? Kwanini tunataka sana kumpa Kazi Waziri Mama yetu Ndalichako kwa udhaifu wetu wa kufikiri na kujiongeza kwa mambo mepesi kama haya? Watanzania wenzangu tuache kuwa Wavivu wa Kifikra hivi.
Salaam,
Nadhani amekusikia!!
Karibu jukwaa la magari kaka
Kila kitu na wakati wake kaka.. usifadhaikeAkhsante Kaka na huku huwa napita tu kwa nadra kwani sina Gari na wala sidhani kama itakuja kutokea nikamiliki Gari wakati hata Baiskeli sina. Huku nawaachieni nyie wenye Mikoko yenu.
Kila kitu na wakati wake kaka.. usifadhaike
Muda ukiwadia utapata