Mwanaoshimba
Member
- Mar 8, 2017
- 61
- 82
Wadau mwenye ufahamu wa hili naomba taarifa. Natafuta kasuku. Bei yake ikoje?
Una kibari!Wadau mwenye ufahamu wa hili naomba taarifa. Natafuta kasuku. Bei yake ikoje?
Nadhani wewe unamaanisha Tausi. Kasuku wapo wengi tu hata kwa watu binafsi.Kasuku wako ikulu magogoni kule sijawahi ona sehem nyingine
Oooooooh that is rightNadhani wewe unamaanisha Tausi. Kasuku wapo wengi tu hata kwa watu binafsi.
Hahahah kasuku kiberiti au kasuku madaftari au kasuku mtu mmbea.Kasuku ndege au kasuku mafuta ya kupikia