Habari wanajamvi.
Natumai muwazima, namiliki biashara na hapo awali nilisajili Brela kama sole proprietor ila kutokana na malengo niliyokua nayo awali na ukuaji wa fursa nataka kuisajili kama limited company.
kutokana na mchanganuo wa biashara nahitaji kuwa na mshirika ambaye atakua director na mmiliki mwenza wa biashara.
Kampuni itakua ni advertising agency, na inaubunifu yenye kutumia media ambazo wengine hawazitumii au hawajazigundua.
atakae taka kujua zaidi tuwasiliane kwa 0788545146 au abeidmbwana@gmail.com
shukran sana