Gharama za kupiga picha

Gharama za kupiga picha

rlhaule

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
686
Reaction score
181
Habr wanajamvi, naomba kujuzwa gharama za kupiga picha kwa picha chache na nyingi na kwa size ya

5 by 7
6 by 8
8 by 12 (A4)
Kwa zile ambazo hazija editiwa na zile za kueditiwa. Asante sana
 
wapiga picha tupeni bei

nataka fanya pre wedding photoshoot nami nijue najipangaje
 
Back
Top Bottom